Rais wa TFF Jamal Malinzi, Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine na Mhasibu wa Shirikisho hilo, Nsiande Mwanga walifikishwa Mahakamani leo wakikabiliwa na mashitaka 28, ikiwemo ya utakatishaji fedha Dola za Marekani, 375,418.
Kutokana na kukataliwa maombi hayo kesi ya Malinzi na wenzake iliahirishwa hadi July 17, 2017 kwa ajili ya kutajwa.
Aidha, Mahakama hiyo imewaonya Mawakili wa upande wa utetezi ikiwataka waache ubabaishaji wa kuizungumzia kesi hiyo kwenye vyombo vya habari badala yake wawasilishe hoja zao mbele ya Mahakama.






0 comments:
Post a Comment