Comments

Monday, 7 August 2017

Rais wa Simba Aveva na Makamu wake Kaburu wafikishwa tena Mahakamani.




Kesi ya utakatishaji fedha inayowakabili Rais wa Simba na Makamu wake imeahirishwa hadi Aug 16, upelelezi haujakamilika.

0 comments:

Post a Comment