Comments

Monday, 7 August 2017

Linex ameachia video mpya ‘Got Me’



Baada ya kukaa kimya kwa muda Linex Sunday Mjeda ameamua kuachia video mpya ya wimbo wa “Got Me”video hiyo mpya ya Linex imeongozwa na director Miraji Msola, unaweza ku-enjoy dakika 3:27 za video yenyewe na kuacha comment yako Linex atapita kuisoma.


0 comments:

Post a Comment