Comments

Saturday, 1 July 2017

Kupotea kwa Mtangazaji Fatna Ramole wa Azam Tv Masaa 48 Sasa

Mtangazaji wa Azam Tv, hajulikani alipo kwa zaidi ya saa 48 sasa. Ndugu yake aomba atakayemuona atoe taarifa.


Toa Taarifa Kituo chochote cha Polisi kwa yeyote aliye na habari za Mtangazaji huyu

0 comments:

Post a Comment