Rais John Pombe Magufuli kufanya ziara ya kiserikali kuanzia 31st Oct kwa siku Mbili Nchini Kenya kwa mualiko wa Rais wa Jamuhuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta.
Sunday, 30 October 2016
Rais John Magufuli Kutembelea Kenya ziara ya siku mbili
Rais John Pombe Magufuli kufanya ziara ya kiserikali kuanzia 31st Oct kwa siku Mbili Nchini Kenya kwa mualiko wa Rais wa Jamuhuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta.

0 comments:
Post a Comment